Home | Movies | Basilisa

Basilisa

Basilisa ni kisa cha kutisha kilichowasibu vijana sita TOM, KENNY, VEDA TINA, ROSE na NATALIA,baada ya kumdhihaki chizi mmoja aliyewaomba madafu waliyokuwa wakinywa na kula wakielekea mapumzikoni mwishoni mwa wiki. Hasira ya BASILISA aliyetokea kama chizi (MZIMU WA MTU ALIYEFARIKI MUDA MREFU SANA) iliamshwa na vijana hawa baada ya kumkejeli na kumpiga alipowaomba madafu (kwa kuwapima imani) safari yao ghafla ilibadilika na kujaa vituko vya mauza uza, ugomvi na hata kusalitiana wenyewe kwa wenyewe. Hatimaye, baada ya majaribu hayo ya kutisha, Basilisa anajitokeza kwao kwa maumbile yake ya asili… JE NINI KITATOKEA? FUATILIA MKASA HUU WA KUSISIMUA.

 Cast: Issa Mussa; Suleiman Saidi; Adam Kuambiana; Single Mtambalike; Kajala Masanja; Ummy Klenceslaus & Wema Sepetu.

 Story & Script by - Mrs Cyncthia Cloud; Editor- Sama; Camera - Nick; Production- E- Media; Director-Issa Mussa Cloud 112

CLICK HERE TO WATCH PART 2 OF THIS MOVIE

Categories: Movies

About Author