Home | Movies | Samira

Samira

Samira (Riyama Ally) na mume wake (Yusuph Mlela) wanakwenda kijijini kumsalipiia shangazi yake, huko wanakutana na mtu ambaye alikuwa anampenda Samira tangu zamani. Mtu huyo ni Mbigi (Suleiman Barafu) ambaye sasa ni gwiji wa mitishamba na mganga maarufu, anatumia nguvu za giza kumteka Samira. Huo unakuwa mwamzo wa pilikapilika katika filamu hii ya kusisimua. Mapenzi, Uchawi, Utafiti na Nguvu za Giza vinatawala mwanzo mwisho

 Casts: Riyama Ally, Yusuph Mlela, Suleiman Barafu, Abdalah Mkumbila, Khadja Pius, Ibrahim Mputa, Alez Wasponga, Edward Temu, Naomi Mbaga, Cecilia Buberw, Anicent Renatus, Julitha Mphuru, Haggy Hongo, Bi Hindu, Bi Mwenda

 BONTA ARTS PRODUCTION PRESENTS SAMIRA, RIYAMA ALLY, YUSUPH MLELA & SULEIMAN BARAFU story & script CHUU NASORO, camera MATHIAS CHALANGE, editing HAJIMGWAMI, producer DAVIS KABOLE, light & sound MARTIN MUHOGO ,costume & props MONICA MWANGUNGA, executive producer SHAMSA MWANGUNGA, director SULEIMAN BARAFU

CLICK HERE TO WATCH PART 2 OF THIS MOVIE

Categories: Movies

About Author