Home | Movies | Fiona

Fiona

Mapenzi sio kitovu cha dini wala rangi kwa wapendanao! Sio kila wapendanao hupenda kuingiliwa kwa mapenzi yao, na endapo hutokea hivyo mapenzi huingia katika wakati mgumu sana ikiwemo vifo na hasara za hali ya juu katika jamii…

 Casts: Mohammed Mwikongi, Irene Paul

Click Here To Watch Part 2

Categories: Movies

About Author