Home | Movies | Mtaani Kwetu

Mtaani Kwetu

Mtaani Kwetu Mtaani Kwetu

Kupotea kwa mtoto Asia kulisababisha majirani kushukiana ushirikina, mama yake kuzimia na hata baba yake Mr Wenje kuwekwa jela lakini pia kupotea kwa Asia kulisababisha shangazi yake Nasra kupata mchumba ambaye ni askari na kupata pingamizo zito kutoka kwa mr. Wenje. Je askari wote haana upendo? Dini zilitumika mambo makubwa kuwa madogo…

Cast: Single Mtambalike, Riyana Ally, Darlene Mtambalike, Adam Haji, Lumole Matovolwa

Director Single Mtambalike, Story & Script Single Mtambalike, Editor Bulls Entertainment, Camera Chidi Classic, Light Said Mbuli, Sound Dulla Diyao

Categories: Movies

About Author