Home | Movies | Inplant from Hell

Inplant from Hell

Inplant from Hell Inplant from Hell

Martin na Mke wake Terisa (Chuchu Hans) aliyekuwa na anamatatizo ya kupata mtoto. Anashawishika na rafiki yake Talik (Aziz) kwenda kupata tiba ya kichawi na kwa nguvu za madawa hayo aliyopewa Martin na mama mtaalam (Farida Sabu) Terisa anapata ujauzito kwa siku mmoja na kujifungua Mtoto wa kike Cute (Farhiya) na alikuwa mkubwa kwa muda wa masaa ishirini na mme tu mtoto huyu mwenye maajabu aliyeweza kuona Jambo lolote lililotokea na litakalotokea, mwenye uwezo wa kupaa angani kama ndege, kupotea na kutokea popote pale duniani na mwenye mwendo kasi kama mwanga, lakini pasipo kujua mama mtaalam alimpa uwezo kasi kama mwanga.

Lakini pasipo kujua Mama Mtaalam alimpa uwezo Martin wa kuzalisha kwa manufaa yake binafsi kwa nia ya kumchukua mtoto huyo akishazaliwa pamoja na mama yake na kumtoa sadaka kwa Mizimu yake Je? Mama mtaalamu atafanikiwa kumchukua mtoto huyo na Martin atamweleza nini mke wake naye atasemaje kuhusu hilo pamoja na majirani, yote hayo yamo ndani ya filmu hii Inplant from Hell

Cast: Chuchu Hans, Farhiya, Farida Sabu, Cloud

Big One Entertainment Presents Inplant from Hell, Staring Issa Musa (Cloud), Chuchu Hans, Cute (Farhiya) & Farida Sabu (mama Sonia)

Director Takeshi Edwards Kichima, Assistant Directors Alex wa Sponga & Issa Musaa, Casting Chuchu Hans & Azizi, Special Effects Designer Takesh E. Kichima,

Special Effects Supervisor Chuchu Hans, Camera man & Editor Yusuph Qras, Sound Effects Designer Steven Kafuko, Story by Chuchu Hans & Takeshi Edwards Kichima, Producer Aziz Mohamed

Categories: Movies

About Author